Picha : NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI, TAASISI ZAKE NA WADAU SEKTA YA MADINI MAONESHO SABASABA 2022
Thursday, July 06, 2023
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akitembelea banda la Wizara ya Madini, Taasisi zake na wadau wa Sekta ya Madini kabla ya Ufunguzi wa Jukwaa la Madini Tanzania, Sabasaba Expo Village 2023 jijini Dar es Salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin