NAIBU WAZIRI KATAMBI ATEMBELEA BANDA LA IDARA YA MENEJIMENTI YA MAAFA SABASABA
Thursday, July 06, 2023
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi atembelea banda la Idara ya Menejimenti ya Maafa katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea kwenye Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin