Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Madini (MADINI PAVILION) kujionea huduma mbalimbali zinazofanywa na wizara hiyo, taasisi zilizo chini yake na wadau wa Sekta ya Madini.
Ametembelea leo tarehe 8 Juni, 2023 katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es salaam
Social Plugin