Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CRDB YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MAGHARIBI


Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Ndg. Jumanne Wambura Wagana pamoja na meneja wa tawi la Tabora Evodi Kereti wakipokea cheti na tuzo ya ushindi kutoka kwa mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andegenye baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye Maonesho ya Nane nane 2023 Kanda ya Magharibi
Kaimu meneja Biashara wa CRDB Kanda ya Magharibi ndg Anselm Mwenda akiwa na wafanyakazi wa Benki ya CRDB pamoja na wateja kwenye banda la CRDB mkoani Tabora viwanja vya ipuli
Tuzo ya mshindi namba 1 ambayo imeenda kwa benki ya CRDB

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com