Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Kumekuchaa!! KAHAMA NIGHT WADAU SHUPAVU JOINT GALA NI SEPTEMBA 1, 2023


KAHAMA NIGHT WADAU SHUPAVU JOINT GALA | 1 SEPTEMBER 2023 | MILIGO HALL, 
📩📩📩📩📩📩📩📩📩
............................................. 
✅Ni Hafla Endelevu Hufanyika Kwa Kila Mwaka Mara Moja na huu ni msimu wa Tatu toka kuanzishwa kwake Wilaya ya Kahama Ambalo  huwakutanisha Pamoja Wadau wote wa Maendeleo Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wenye viwango mbalimbali katika Jukwaa Moja. 🙏

✅Kwa lengo la kutambua na kuthamini Juhudi na Mchango wa Wadau binafsi, vikundi, watumishi, wajasiriamali na wawekezaji waliofanya vizuri, wanaoendelea kufanya vizuri na wanaochipukia. 

✅Tamasha hili litaambatana na Kuwatunuku Tuzo Wadau Mbalimbali 30 wanaofanya Vizuri katika Sekta Mbalimbali kwa Tuzo za Heshima na tuzo za kushindaniwa. 

✅hafla hii Itafanyika Tarehe 01.9.2023. 
👉🏿 Ukumbi wa Zakaria (Miligo Hall) Pembeni mwa Submarine hotel
👉🏿kuanzia saa 12:00 Jioni Mpaka 6:00 Usiku 
👉🏿Kwa kusindikizwa na Burudani kutoka kwa wasanii Maarufu,Live Stand Up Comedy Show.
👉🏿Muziki wa Bendi, vyakula pamoja na Vinywaji. 

✅Kwenye hafla tunatarajia kukusanya wadau mbalimbali zaidi ya 500+ kutoka ndani ya wilaya ya Kahama na nje ya Mkoa wa Shinyanga.

👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👇🏿
Kwa unyeyekevu Mkubwa naomba Nichukue Fursa hii kukualika katika Hafla hii Kubwa Yenye Fursa nyingi.

Lipia tiketi yako Kupitia Lipa Namba yetu pamoja na Nmb A/C No 

➡️KIINGILIO 📌
.............................
🔄Mtu Mmoja 30,000
🔄VIP WATU 2 ; 50,000
🔄Meza ya watu (5); 300,000
🔄Meza ya Watu (10)500,000

✅Utapata
👉Chakula cha jioni Kamili
👉Burudani na Viburudisho.

Tiketi ni chache sana, Weka nafasi yako sasa.

Piga / WhatsApp - 0756254146 | 0622891972

#SisiNiHolySmile | Tumeama Kutambua na Kuthamini Juhudi za WadauShupavu 💪 | Tutapumzika Uzeeni 🙏🙏🙏 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

𝗪𝗲𝘄𝗲 𝗡𝗶 #𝗠𝗱𝗮𝘂𝗦𝗵𝘂𝗽𝗮𝘃𝘂

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com