Unavyoambiwa beti na Meridianbet huwa wanamaanisha kuwa pesa ni nje nje kwani huku ndiko mabingwa wote wa ubashiri wanapobetia. Sababu kubwa ni mbili tuu, kwanza ni ODDS KUBWA na pili ni machaguo zaidi ya 1000. Ligi mbalimbali Duniani zimerejea na ni wakati wa kukusanya maokoto.
Mechi nyingine pia itakuwa ni kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Bayer Leverkusen huku timu hizi zote mbili zilipokutana mara ya mwisho zilitoa sare. Nani kuondoka mbabe? Majira ya saa 10:30 jioni Freiburg atamkaribisha nyumbani kwake Werder Bremen ambaye ametoka kuchapika mechi yake ya kwanza. Suka jamvi lako hapa.
Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Sub-Heading:
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.
MZIGO WA KUTOSHA UPO MERIDIANBET, INGIA NA USHINDE SASA
EPL hapatatosha ambapo vijana wa Ten Hag Manchester United baada ya kupoteza mechi yao ya pili kesho watakuw Old Trafford kukiwasha dhidi ya Nottingham Forest ambao wameshinda mechi yao iliyopita. ODDS KUBWA zinapatikana hapa. Everton uso kwa uso dhidi ya Wolves ambao mpaka sasa hawana pointi yoyote. Nani ni nani hapo kesho?
Mechi ya kutazama sasa itakuwa ni ile inayowakutanisha Newcastle United dhidi ya Liverpool huku ushindi kwa mwenyeji una ODDS ya 2.20 huku Klopp akipewa ODDS ya 2.94. Meridianbet wamempa mwenyeji ashinde wewe unampa nani ushindi?.
Bingwa mtetezi Manchester City atakuwa mgeni wa Sheffield United ambaye mpaka sasa amepoteza mechi zake zote mbili. Bashiri mechi hii na nyingine ndani ya Meridianbet.
Vita nyingine itakuwa kule SERIE A, Atalanta atakuwa mgeni wa Frosinone ambaye alipoteza mechi yake ya kwanza dhidi ya bingwa mtetezi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Wakati huo huo Vijana wa Mourinho AS Roma watakuwa ugenini pia kumenyana dhidi ya Hellas Verona na nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatau amepewa mgeni.
Siku ya Jumapili Lazio atamualika Genoa na mara ya mwihso kukutana, kwenye ligi Lazio aliondoka na pointi zote. Ushindi kwa mwenyeji una ODDS ya 1.57 kwa 5.88 nani kuondoka na pointi tatu?.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Katika jiji la Starehe Paris, ligi ya nchi hiyo LIGUE 1, itarindima ambapo PSG watawaalika Lens katika dimba la Parc Des Princes huku vijana hao wa Enrique wakishindwa kupata pointi 3 mechi zao mbili walizocheza.
Strasbourg atamenyana dhidi ya Toulouse ambaye ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati ya timu hizi mbili ni moja pekee huku walipokutana msimu uliopita, mgeni aliondoka na pointi nne. Bashiri na Meridianbet sasa.
Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Olympique Marseille atakuwa mwenyeji wa Brest huku mechi yao ya mwisho kukutana, , Brest aliondoka na pointi 4. ODDS za kibabe zipo hapa huku kukiwa na machaguo kibao. Ingia mchezoni.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA
Social Plugin