FINLAND , MISA TAN WASAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI MRADI WA KUBORESHA UTENDAJI WA VYOMBO VYA HABARI NA MABADILIKO YA SHERIA
Wednesday, August 09, 2023
Balozi wa Finland nchini Tanzania, Theresa Zitting (kushoto) na Mkurugezi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA TAN), Elizabeth Riziki (kulia) wakisaini mkataba wa utekelezaji mradi wa kuboresha utendaji wa vyombo vya habari na mabadiliko ya sheria kwa kushirikiana na taasisi ya Protection Africa International (PAI) leo Agosti 9,2023. Kushoto ni Mwenyekiti wa MISA TAN, Salome Kitomari. (Picha na Mpigapicha wetu)
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin