Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuja na kaulimbiu mpya msimu huu mpya wa soka barani ulaya wa “Meridianbet Mzigo wa Kutosha” ambao unamaanisha kuwa pesa zipo kibao wewe bashiri utapata kiasi chochote ambacho utakuwa umeshinda.
Mechi nyingine kali pale Uingereza itakuwa ni kati ya vijana wa Eddie Howe Newcastle dhidi ya Aston Villa huku mechi ya mwisho kuonana mwenyeji alipoteza mechi hiyo akiwa ugenini. Leo yupo nyumbani. Je anaweza kulipiza kisasi?
Meridianbet Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha
Huku ukiendelea kubfanya ubashiri wa mechi kumbuka kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
ODDS KUBWA machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu kinapatikana Meridianbet ingia sasa na ufanye ubashiri wako uweze kutimiza ndoto zako za kuwa bingwa. Pia kuna michezo ya kasino ya mtandaoni ambayo inatolewa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.
Keshokutwa sasa Cheslea watkipiga dhidi ya Liverpool huku timu hizi msimu uliopita walipokutana hakuna mabaye alikuwa mbabe kati yao huku The Blues wakiwa na msimu mbaya sana baada ya kumaliza nafasi ya 12 kwenye msimamo. ODDS ya ushindi amepewa Klopp akiwa na 2.40, na mwenyeji ana 2.79. Beti yako unaipeleka wapi?
Pale LALIGA sasa nayo itaanza kutimua vumbi leo ambapo hapo kesho mabingwa watetezi Barcelona watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Getafe huku wakihitaji pointi 3 muhimu waweze kuanza msimu vizuri. Wakati wapinzani wao wakubwa Real Madrid wao watcheza dhidi ya Athletic Bilbao. Ancelloti na vijana wake wana ODDS ya 2.16 kwa 3.23, beti yako unaipeleka kwa nani?
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mechi nyingine ya kusisimua pale Hispania itakuwa ni kati ya Villarreal dhidi ya Real Betis na mechi mbili za msimu uliopita, Betis aliondoka na pointi 4. Je Nyambizi wa Njano atakubali na msimu huu kupoteza pointi hizo au atapindua meza?
Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Tukitoka hapo tunaenda moja kwa moja mpaka kule LIGUE 1, na Mabingwa watetezi wa ligi hiyo PSG watakuwa pale Parc des Princes kumenyana dhidi ya Lorient. Paris wana kocha mpya ambaye ni Luis Enrique. Je mabingwa hawa ambao hawana Messi na Mbappe wataanzaje?
Marseille atamualika Reims hii leo kusaka pointi tatu za maana kujifua kwaajili ya kucheza michuano ya Ulaya. Je nani kuondoka na alama zote mechi hii?
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA
Social Plugin