Ligi ya Ujerumani, Bundesliga imerejea na mechi kibao zitapigwa, baada ya kukosa ubingwa msimu uliopita Borussia Dortmund ataanza ligi dhidi ya FC Cologne huku msimu uliopita timu hizi ziligawana pointi kila timu ilishinda mechi moja kati ya mbili walipokutana. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa mwenyeji akiwa na 1.40, huku mgeni akiwa na 6.46.
Tukisalia hapo hapo Ujerumani, mabingwa wa Super Cup RB Leipzig wao wataanza na Bayer Leverkusen huku timu hizo zikiwa na ODDS za kuvutia, Leverkusen ana 2.45 na RB akiwa na 2.74. Nani unampa nafasi ya kukupatia pesa? Ingia meridinabet uanze kusuka jamvi sasa.
Ukiachana na Ligi hiyo, Serie A patashika ngo kuchanika, Bingwa wa ligi hiyo Napoli ataanzia ugenini dhidi ya Frosinone Calcio. Ikumbukwe kuwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo ya mabingwa hao aliachana na klabu hiyo, hivyo watakuwa ugenini na kocha mpya. Mwenyeji amepanda daraja. Je mechi itakuaje? Suka jamvi lako bila kausahau mechi hii.
Atalanta atakuwa ugenini akiwa amepewa odds ya 2.07 dhidi ya Sassuolo mwenye Odds ya 3.38. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi mgeni. Wew nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu unampa nani?
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.
MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA
Ligi Pendwa EPL wikendi hii ni ya moto sana huku mechi takribani zote zitakuwa ni za kuangalia kutokana na ratiba ambayo imepangwa, Tottenham Hot Spurs atakipiga dhidi ya Manchester United. Spurs alitoa sare mechi iliyopita wakati United alishinda kwa shida. Beti mechi hii na Meridianbet.
Majira ya saa 4:00 usiku mechi kali na ya upinzani itakuwa ni kati ya vijana wa Pep Guardiola dhidi ya Vijana wa Eddie Howe ambao wametoka kutoa dozi nzito mechi yao iliyopita.Newcastle wamekuwa tishio sana hivi karibuni baada ya timu yao kununuliwa na Waarabu. Je Guardiola atachukua pointi 3 kesho. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia Meridianbet na ucheze.
Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
LIGUE 1 nayo itaendelea wiki hii baada ya wababe wa ligi hiyo PSG kutoa suluhu mechi iliyopita wakiwa nyumbani, kesho watakuaw ugenini dhidi ya Toulouse huku kukiwa na tumaini la urejeo wa Mbappe ambaye alikosa mechi iliyopita kutokana na mgogoro na klabu. 1.67 ndiyo odds aliyopewa bingwa huyo pale Meridianbet.
Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Jumapili, Lens na Rennes watakipiga kusaka pointi tatu huku mechi zao za kwanza mwenyeji alipoteza mchezo huku mgeni akiondoka na pointi tatu zote. Wakati huo huo Lille atachuana na Nantes. Tengeneza jamvi lkao wikendi hii ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA
Social Plugin