Toleo jipya la mchezo maarufu zaidi wa kasino ya mtandaoni, Roulette, linakuja! Kutoka kwa muandaji wa michezo hii ya kasino Fazi inakuja Roulette Fazi mpya, iliyotengenezwa vizuri!
Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet unaendeshwa kwa sheria zile zile za roulette ya
kawaida. Pia, mchezo huu wa kasino unakupa chaguo la kupata bonasi zisizo na
kifani.
Sifa
za Roulette Hii.
Tunachoweza
kusema kuhusu mchezo huu wa kasino
ya mtandaoni
ni kwamba unawakilisha moja ya michezo ya kisasa yenye kasi kubwa na mfumo wa
uchezaji wa kipekee na rahisi kuelewa.
Tunapozungumza
kuhusu mfumo wa uchezaji, kwenye meza ya roulette kuna njia mbili unazoweza
kubetia pesa zako: kubetia kwenye eneo la namba na kubetia kwenye eneo la
machaguo mengine kama rangi n.k.
Aina
Za Bets
Unaweza kubashiri namba nzima, robo, nusu, sita, theluthi, na, bila shaka, safu nzima.
Tuce inawakilisha uchezaji katika
sehemu tatu tofauti, ya kwanza inajumuisha namba zote kuanzia 1 hadi 12, ya
pili inajumuisha namba zote kuanzia 13 hadi 24, na ya tatu inajumuisha namba
zote kuanzia 25 hadi 36.
Pia
unaweza kucheza kwenye namba zote kuanzia 1 hadi 18, vilevile nusu ya pili ya
juu kuanzia 19 hadi 36. Bila shaka, pia kuna beti za rangi ya kawaida, hivyo
unaweza kubetia chaguo la namba ifuatayo itakuwa nyeusi au nyekundu, pia
unaweza kubetia namba inayofuata kama itakuwa namba ya shufwa au witiri.
Uki bonyeza kitufe cha “Race Bet“, meza ya mchezo wa roulette utabadili muonekano wake kutoka muenako wa kawaida na kuwa muonekano wa duara.
Mtazamo
wa duara utakuonyesha namba zilivyopangwa sawa na kwenye gurudumu la roulette
yenyewe. Hapa utaweza kucheza mfululizo(series) na machaguo mengine
mengi.
Ukiamua
kucheza series, utakidhi kuweka beti/dau zifuatazo:
Sifuri: kubetia kwenye namba zilizo
karibu na sifuri: 12, 35, 3, 26, 0, 32, 15
Vicini
Series:
Kubetia katika eneo la jirani la sifuri.
Orphanele: Hii ni dau/beti kwa namba
kamili, pamoja na nusu kati ya 6 na 9, 14 na 17, 17 na 20, 31 na 34.
Series
5/8: Kubetia kwenye
namba zote kwenye gurudumu la roulette kuanzia 27 hadi 33.
Nyoka Mwekundu: Beti hii inawakilisha dau za kwenye namba 12 nyekundu, ambazo wakati huo huo hujenga umbo la nyoka.
Dau
za kipekee(Machaguo ya kipekee)
ni aina za dau tofauti kidogo. Ikiwa utachagua moja ya dau hizo, unaweza
kucheza beti zifuatazo:
Crown: Hapa unabetia kwenye namba
iliyochaguliwa na maeneo yote karibu na hiyo namba.
Neighbours: Hapa unabetia kwenye namba
iliyochaguliwa, lakini pia kwenye namba z za jirani yake.
Finale: Beti kwenye namba iliyochaguliwa, pamoja na beti kwenye namba zote kwenye meza ya roulette zinazoishia na namba ile ile ya mwisho.
Black
Splits: Beti
kwenye black splits saba: 8/11, 10/11, 10/13, 17/20, 26/29, 28/29, 28/31
Red
Splits: Beti
kwenye red splits nne: 9/12, 16/19, 18/21, 27/30
Odds Za Mchezo Wa Roulette Fazi
Tutataja
odds kwa aina fulani za dau/beti unazoweza kuchagua. Tutazungumza hasa juu ya
beti za kawaida:
- Namba Kamili – dau hili
linalipa kwa uwiano wa 35:1
- Nusu inalipwa kwa uwiano
wa 17:1
- Theluthi moja inalipwa kwa
uwiano wa 11:1
- Robo inalipwa kwa uwiano
wa 8:1
- Nusu sita inalipwa kwa
uwiano wa 5:1
- Safu inalipwa kwa uwiano
wa 2:1
- Tuce pia inalipa 2:1
- Odds hulipwa kwa uwiano wa
1:1
Jackpoti
za Mchezo Huu
Upekee
wa roulette hii ni kwamba unakupa aina tatu za jackpoti. Kwenye upande wa
kushoto wa skrini, utaona jinsi jackpot inavyobadilika mara kwa mara huku namba
au kiwango cha jackpoti kikongezeka.
Jackpoti
ndogo ni dhahabu, ikifuatiwa na jackpot ya platinamu na Jackpoti ya almasi.
Jackpoti hizi hugaiwa kwa nasibu na unaweza kushinda kwa kiwango cha beti
chochote utakachoweka.
Thamani
ya jackpoti za kwenye mchezo wa Roulette Fazi inaweza kufikia mamilioni
ya pesa za kitanzania. Jitahidi kucheza roulette hii ujishindie moja ya
jackpoti hizi.
Mchezo umewekwa kwenye mandhari ya background nyeusi na juu ya uwanja wa kucheza utaona msichana akiwa kama muuzaji.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
Social Plugin