CHATANDA AZINDUA MASHINDANO YA UVCCM SHY TOWN DR. SAMIA CUP SHINYANGA...TIMU 32 KUKUTANA UWANJANI

Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda amezindua ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA MJINI kwa ajili ya mashindano ya Mchezo wa mpira wa miguu katika Wilaya ya Shinyanga mjini.

Uzinduzi huo umefanyika Jumamosi Agosti 26,2023 katika uwanja wa zimamoto (fire) Nguzonane mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwemo wabunge pamoja na madiwani katika Manispaa ya Shinyanga.

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Mary Chatanda ameipongeza taasisi ya Bega kwa Bega kwa ubunifu huo, kushirikiana na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga mjini katika kuandaa mashindano ya mpira ambayo yatatoa fursa za ajira kwa vijana watakaoshiriki ligi hiyo.

Mhe. Mary Chatanda akiwa kwenye hafla ya kuzindua ligi ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA amekabidhi vifaa vya michezo ikiwemo mipira pamoja na jezi zitakazotumiwa na timu 32 ambazo zinashiriki mchuano huo ambao utafanyika kwa zaidi ya Mwezi mmoja.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Bega kwa Bega Mhe. Zainabu Shomar amesema mashindano hayo ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha suala la michezo.

Mhe. Zainabu Shomar ambaye pia ni makamu Mwenyekiti UWT Taifa amesema kuwa baada ya mchuano huo mshindi wa kwanza atachukua kombe na fedha Shilingi Milioni tano, mshindi wa pili atachukua Shilingi Milioni tatu, na mshindi wa tatu atachukua zawadi ya Shilingi Milioni mbili.

“Tumeandaa mashindano hayo lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassani na tunatarajia kukabidhi kombe na Milioni tano kwa mshindi wa kwanza lakini mshindi wa pili tutampa Milioni tatu na mshindi wa tatu tutampa Milioni mbili”.

“Kwa sasa maandalizi yamekamilika kwa asilimia mia moja, vifaa vipo kila timu itakuwa na jezi zake pamoja na mipira yake tunaamini hakuna changamoto itakayojitokeza”,amesema Mwenyekiti wa Bega kwa Bega Zainabu Shomar

Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini ,Naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi ametoa fedha Shilingi Milioni tano na Mipira 20 yenye thamani ya Sh.milioni 1.6 kwa ajili ya kuunga mkono Mashindano maalumu ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA.

Naye Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ametoa Shilingi Milioni tatu kwa ajili ya kuunga mkono mashindano hayo ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA ambayo yameandaliwa na UVCCM kwa kushirikiana na Taasisi ya Bega kwa Bega.

Mratibu wa mashindano ya DKT. SAMIA CUP SHINYANGA, Jackline Isaro amemshukuru Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda kwa kuzindua mashindano hayo.

Amesema mashindano ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA yatatoa fursa mbalimbali kwa vijana na kwamba timu mbalimbali zikiwemo timu za taasisi za serikali na taasisi binafsi katika Wilaya ya Shinyanga mjini ikiwemo timu ya SHUWASA, timu za Bodaboda, timu za Masoko pamoja na timu za Walimu.

Timu zilizopokea vifaa vya michezo kwa niamba ya timu zingine, ni timu ya mpira ya chuo cha St. Joseph, timu ya Ngokolo sekondari pamoja na timu ya Walimu.

Viwanja 8 vitakavyotumika katika mashindano hayo ni uwanja wa Saba saba Kambarage mjini Shinyanga, uwanja wa chuo cha ualimu Shinyanga (SHYCOM), uwanja wa kata ya Old Shinyanga, uwanja wa shule ya msingi Kitangili, uwanja wa kata ya Ibadakuli, uwanja wa Jasko kata ya Ngokolo, uwanja wa Ndala shule ya msingi pamoja na uwanja wa Joshoni kata ya Lubaga katika Manispaa ya Shinyanga.

Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini Bwana Jonathan Madete amewaomba wakazi wa Wilaya ya Shinyanga mjini kujitokeza kwa wingi kwenye mashindano hayo ambapo kauli mbiu inasema SAMIA VIWANJANI.

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda akiwa katika zoezi la kuzindua ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA iliyoandaliwa na taasisi ya Bega kwa Bega kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga mjini.

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda akizungumza katika zoezi la kuzindua ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA iliyoandaliwa na taasisi ya Bega kwa Bega kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga mjini.

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda akizungumza katika zoezi la kuzindua ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA iliyoandaliwa na taasisi ya Bega kwa Bega kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga mjini.

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda akizungumza katika zoezi la kuzindua ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA iliyoandaliwa na taasisi ya Bega kwa Bega kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Shinyanga mjini.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Bega kwa Bega Mhe. Zainabu Shomar upande wa kulia akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwenye ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA.

Mratibu wa mashindano ya DKT. SAMIA CUP SHINYANGA, Jackline Isaro akimshukuru Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda kwa kuzindua mashindano hayo.

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda akiwa katika zoezi la kukabidhi vifaa vya michezo vya timu 32 zitakazoshiriki ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda akiwa katika zoezi la kukabidhi vifaa vya michezo vya timu 32 zitakazoshiriki ligi maalum ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA iliyoandaliwa na taasisi ya Bega kwa Bega kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Shinyanga mjini.

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda kushoto na Mwenyekiti wa Taasisi ya Bega kwa Bega Mhe. Zainabu Shomar upande wa kulia wakiwa wameshirikia kombe litakalokabidhiwa kwa mshindi wa kwanza katika ligi hiyo.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Bega kwa Bega Mhe. Zainabu Shomar akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwatika ligi ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA.

Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwatika ligi ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA.

Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwatika ligi ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA.

Hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumiwa na timu 32 ikiendelea katika uwanja wa Zimamoto mjini Shinyanga.

Viongozi, wadau mbalimbali na wananchi wa Wilaya ya Shinyanga mjini wakiwa katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumiwa na timu 32 kwenye mashindano ya DR. SAMIA CUP SHINYANGA ambayo imeandaliwa na taasisi ya Bega kwa Bega kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post