Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo mara baada ya kufunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani tarehe 27 Agosti, 2023.
Social Plugin