Zao la Vanilla ambalo sasa limeanza kuchangamkiwa duniani linatajwa kuwa zao linalouzwa kwa bei kubwa zaidi duniani inayofikia dola 430 kwa kilo moja sawa na shilingi Milioni ya Tanzania.
Kutokana na faida kubwa ya Vanilla, Kampuni Vanilla International Ltd ambayo ina mashamba ya Vanilla "Vanilla Village" katika maeneo mbalimbali duniani imeweza kujitwalia wawekezaji (wakulima) wa zao la Vanilla kufikia 1350 nchini Tanzania ambapo kabla ya uhamasishaji huo wawekezaji wa zao la Vanilla walikuwa hawafiki 50.
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya anasema zao la Vanilla ni zao lenye bei kubwa kuliko Silver (fedha) na linachuana na dhahabu.
Kampuni ya Vanilla International inatumia namba za simu +255629300300, +255769300200 na +255624300200 kwa ajili ya kufundishia wananchi bure kuhusu Kilimo cha Vanilla.
SOMA ZAIDI KUHUSU VANIILA