Habari mteja wa Meridianbet, zikiwa zimebaki siku chache Ligi mbalimbali barani Ulaya kurejea, wababe wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wamekuletea promosheni mpya ijulikanayo kwa jina la “Vuna Zaidi na Airtel Money” ambayo imeanza leo hii.
Uzinduzi huo ulifanyika leo hii majira ya saa 4:30 pale Posta katika Four Points by Sheraton Hotel huku waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakijumuika pia kuona nini Meridianbet wamekuja nacho msimu huu amvao ligi zinaelekea kuanza.
Aliyefungua uzinduzi huo alikuwa ni Meneja wa Malipo wa Meridianbet Dora Kinyaiya ambaye alizungumza mengi akisema kuwa promosheni hiyo ni kwa wale ambao wanatumia mtandao wa Airtel kufanya miamala kwenda Meridianbet, au pia unaweza ukajisajili na mtandao huo ili ushiriki promosheni hiyo huku awamu hii kushiriki lazima uweke dau la shilingi elfu kumi.
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Baada ya kuweka pesa yako unatakiwa kucheza michezo ya kasino sasa kama vile Roullette, Poker, Aviator, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao, pia ubashiri mechi kibao ili sasa uweze kujiweka kwenye nafasi ya washindi siku ya droo kuchezeshwa.
Dora aliendelea kuzungumza akisema kuwa zawadi zilizopo ni Simu Janja aina ya Samsung zaidi ya 20 zitatolewa, bonasi ya kasino na michezo pia hela ambayo utakuwa umeliwa utapata 10% na vilevile kuna bodaboda mbili kutolewa katikati ya promosheni na mwisho wa promosheni hiyo.
Piga *149*10# kwa USSD pia uweza kubashiri bila bando au ukiwa hata na kitochi, yani kila kitu ni rahisi ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Hivyo usisubiri kupitwa na zawadi hizi mbalimbali ambazo zitatolewa na Meridianbet ukiwa kama mteja unaetumia Airtel Money fursa ndio kama hizi usikubali zikupite kirahisi. Kama hujajisajili pia na Airtel fanya hivyo uweze kushiriki kwenye promosheni hii sasa.
Kujiweka kwenye nfasi kubwa ya kushinda zawadi kibao kama simu aina ya Samsung ambazo zitatolewa kwa washindi, bonasi mbalimbali za kasino na michezo, pamoja na bodaboda unachotakiwa kufanya ni kufanya miamala zaidi na Airtel kwenda Meridianbet ili uwe bingwa mwisho wa promosheni hii.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
Social Plugin