Michezo ya Roulette inajulikana kuwa moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyo maarufu Zaidi kwa miaka mingi sana. Mashabiki na wachezaji michezo ya kasino ya mtandaoni duniani kote hufurahia sloti hii ya faida kubwa ambayo ni rahisi kuelwa na kuucheza, aidha toleo hili la roulette lina msisimko mkubwa ukizingatia kiwango cha pesa unachoweza kushinda.
Kama moja ya wabobezi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kampuni ya Microgaming inafahamu umuhimu na umaarufu wa mchezo huu wa roulette, hivyo imetengeneza toleo jipya, bora, na la kisasa. Karibu uamshe msisimko na Premier Roulette kasino ya mtandaoni yenye kukupa ushindi kirahisi.
Maboresho ya picha (muonekano) na machaguo tofauti ya kuvutia, yamepelekea wachezaji kuchagua kucheza Premier Roulette kwa sababu watapata furaha ya mchezo ambao ni halisi sawa na roulette zinazopatikana kwenye majumba ya kasino.
Faida ya mchezo huu wa roulette ni kwamba unaweza kuucheza kwa faragha; nyumbani kwako na unapodumbukia kwenye ulimwengu wa kubashiri, utafurahia uzoefu wa kipekee wa mchezo.
Kila mtu anavutiwa na urahisi wa kujifunza kucheza na sifa za kipekee ziambatanazo na toleo hili jipya la roulette ya Microgaming. Premier Roulette ni aina ya European Roulette, na lengo la mchezo ni kubashiri nambari au kikundi cha nambari ambazo mpira utaangukia.
Kuna jumla ya namba 36 na sifuri moja kwenye mchezo wa Premier Roulette, jumla ya maeneo/vyumba 37 vinavyopatikana kwenye huu mchezo. Nambari kwenye gurudumu la roulette zimepangwa tofauti, zikiwa nyekundu na nyeusi kwa zamu, na sifuri moja tu yenye rangi ya kijani.
Mbali na Kubashiri kawaida, pia kuna beti za ndani (Inside Bets), na beti za nje (Outside Bets) kama toleo lingine lolote la Roulette ya Ulaya, Premier Roulette pia inatoa chaguzi za kubeti kisasa.
Sifa za Kipekee Kwenye Sloti Hii.
Hebu tujue ni vipengele vipi vya kisasa vya mchezo wa Premier Roulette, ambao unatoka kwa mtayarishaji wa mchezo wa kasino Microgaming?
Moja ya maboresho ni “Bets Track“, ambayo inaruhusu kuweka vikundi vya dau kwenye roulette. Unaweza kuweka dau zako kwenye Kubashiri Majirani na Kubashiri Simu.
“Neighbours Bets” ni boresho linalo jumuisha nambari ambayo unaweka dau la “Straight up” na nambari mbili kushoto na mbili kulia kwenye mzunguko wa roulette.
“Call Bets” ni kikundi cha dau kinachowekwa kwa wakati mmoja kwenye roulette. Chaguo hili linapatikana kwenye “Expert Mode“. Call Bets inapatikana kwenye Bets Track.
- Les Orphelins inashughulikia nambari 8 kwenye gurudumu la roulette
- Tiers du Cylindre ambapo nambari 12 zinafunikwa
- Voisins du Zero ni mchanganyiko unaojumuisha nambari 17
- Red Splits inawakilisha dau kwenye nambari 4 nyekundu
- Black Splits hufunika dau kwenye nambari saba nyeusi
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
Social Plugin