Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET KASINO SLOTI YA FOXPOT



 

Dau lako uliloweka Meridianbet kasino unaweza kulipwa mpaka mara 1000 endapo utacheza sloti ya Foxpot ya kasino ya mtandaoni.

Maelezo ya Msingi Sloti ya Foxpot

 

Nyumba ya mabingwa Meridianbet, inakuletea kasino ya mtandaoni yenye gurudumu 12 ya ushindi, ni wewe tu kuchagua lipi unaenda nalo lakini bila kusahau kabisa kuna chaguo la Mbweha ambaye ni ishara ya malipo ya Wild au mawindo yako.

 

Unasubiri nini? ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet sasa na ufurahie ushindi kwa kwenye sloti ya Foxpot.

 

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot

 

Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa kubenyeza hapa kisha kuchagua mchezo huu wa Foxpot ujishindie mamilioni!

 

Sloti ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali. Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye kolamu 5 na mstari mmoja wa malipo.

 

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.

 

Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko kiatomatiki. Alama za sloti hii ni matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5 ya dau uliloliwaka.

 

Endapo utapa alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 mbili za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako. Sio hivyo tu, kama ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40 ya dau lako.

 

Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama zozote kwenye mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini? Jiunge leo na Meridianbet upate bonasi kubwa, Odds za kubwa na Jackpoti kedekede.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com