Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, (wa pili kushoto), akitia saini katika Kitabu cha wageni alipofika kwenye Banda la Chuo Kikikuu Mzumbe, kwenye Maoneho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane katika Viwanja vya John Mwakangale Agosti 7,2023Jijini Mbeya. (wa kwanza kushoto), ni Mratibu Mawasiliano Ndaki ya Mbeya, Aloyce Gervas, na (wa kwanza kulia), ni Afisa Masoko Chuo Kikuu Mzumbe, Gloria Mushi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa (kulia), akipokea zawadi ya Kikombe kutoka kwa Mratibu Mawasiliano Ndaki ya Mbeya, Aloyce Gervas, huku akipata maelezo juu ya Mradi wa ujenzi wa Bweli la Wanafunzi wa Kike linalojengwa katika Ndaki ya Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, (katikati aliyekaa) akiwa na jopo la baadhi ya watumishi, na wanataaluma wa Chuo Kikuu Mzumbe mara baada ya kumaliza ziara yake fupi katika Banda la Chuo hicho, kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane Agosti 7,2023 Jijini Mbeya
Social Plugin