MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA CRDB MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA
السبت, سبتمبر 30, 2023
Leo Jumamosi Septemba 30,2023 katika kilele cha maonesho ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita mgeni Rasmi ambaye ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah ametembelea banda la CRDB na kuipongeza kwa kazi nzuri inayofanya Tanzania bara na visiwani.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin