Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MBAGALA RANGI 3 YANEEMEKA NA MERIDIANBET


Msimu mpya umeanza na Meridianbet wameanza kukiwasha pale pale walipoishia huku jambo kubwa ambalo kila siku wamekuwa wakilifanya ni uzinduzi wa maduka huku Mbagala Rangi 3 ikiwa ni chaguo la kwanza kabisa kutokana na uhitaji mkubwa ambao ulikuwepo eneo hilo.


Kila siku Meridianbet hupenda kuwafikia wakazi wao na kuchagua kipi ambacho kinawafaa ikiwemo kuwapatia ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000,na kuwasogezea huduma zao karibu kama vile kuwafungulia maduka NK.

Nancy Ingram ambyae ndiye kiongozi wa msafara huo akiwa kama Mhariri Mkuu wa Meridianbet amesema kuwa “ Huu ni mwanzo bado watafungua maduka hayo ya kubetia sehemu kibao yaani kila unapoona nyekundu unajua hao ni Meridianbet pekee ndani ya Dar es salaam”

NB: Bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

 Mbagala Rangi 3 ni moja ya maduka ambayo ni makubwa ambayo kila ambacho utataka kitakuwepo, vilevile unaweza ukabashiri mubashara yani mechi zikiwa zinaendelea wewe weka dau lako suka jamvi na sikilizia maokoto baadae. Pia kuna michezo mingi sana kama Keno, Sloti mashine kama American Poker n.k tembelea tovuti ya meridianbet kubashiri michezo mingi www.meridianbet.co.tz

Wakazi wa Mbagala wamefurahia sana kuletewa mchezo wa “kindege” ambao unajulikana kama Aviator ambao umekuwa pendwa sana kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kutokana na kuwa rahisi kueleweka.

Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Endelea kutumia kampuni yako pendwa ya Meridianbet kufanya ubashiri wa mechi mbalimbali ambapo baada ya mapumziko ya kimataifa wiki hii ligi mbalimbali zinarejea pale EPL mitanange ipo kibao. LALIGA napo hapatoshi, yaani ukisogea ple BUNDESLIGA ndio hatari, kunako LIGUE 1 noma sana halafu malizia pale SERIE A.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com