Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HIZI HAPA MECHI ZA CARABAO ZA KUKUPA PESA


Ukiwa kama kijana mdogo na unataka kutimiza ndoto zako kwenye ubashiri basi mimi nakuambia hivi mahali sahihi ni Meridianbet pekee kwani wana kile ambacho wewe unakitaka. Kupitia mechi za Carabao Raundi ya 3 hizi hapa mechi zitakupatia pesa leo na kesho.

Newcastle United atakuwa nyumbani dhidi ya Manchester City ambaye ni bingwa mtetezi wa Epl. Timu hizi zimekutana kwenye ligi msimu huu huku vijana wa Pep Guardiola wakiwa wanapendelewa kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet wakiwa na ODDS ya 2.33 kwa 2.69. City haijapoteza mechi yoyote mpaka sasa huku Howe akiwa ameshapoteza mechi 3 mpaka sasa. Beti yako unaipeleka wapi?

Chelsea baada ya kupoteza mechi ya ligi iliyopita, atakuwa Stamford Bridge hii leo kukipiga dhidi Brighton ambayo ni ya moto kweli kweli. Msimu uliopita walipokutana The Blues amekufa mechi zote mbili kwenye ligi. Je Pochettino na vijana wake wataweza kutoka kesho mbele ya De Zerbi?

Kule Anfield Jogoo atamenyana dhidi ya Leicester City ambayo kwasasa inshiriki ligi daraja la kwanza baada ya kushuka msimu uliopita na ndio kinara kwenye msimamo wa ligi hiyo. Liverpool ya Jurgen Klopp kuondoka na ushindi mechi hii amepewa ODDS ya 1.44 kwa 5.68. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Brenford ambayo msimu huu bado inajitafauta itamleta nyumbani Arsenal ya Mikel Arteta. Nyuki kwenye mechi zake sita akshinda moja pekee huku The Gunners wameshinda nne. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ubeti sasa.

 

 Cheza mechi za Jakpoti ukiwa na Meridianbet kwa wale wanaoutumia USSD au kitochi  kwa kupiga *149*10# kwa dau la shilingi 1000 tuu uweze kupiga mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia meridianbet na ucheze.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com