Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAJANJA WOTE WANABASHIRI MECHI ZA EUROPA NA MERIDIANBET



Unajiitaje bingwa sasa na wakati hubashiri na Meridianbet? Ukiwa unawaza utapata wapi ODDS KUBWA na za kijanja ambazo zitakufanya wewe ujinyakulie pesa nzuri basi ingia Meridianbet sasa ubashiri leo hii mechi hizi za Europa na kirahisi kabisa na machaguo ni mengi sana

Atalanta ya Italia itakuwa nyumbani hii leo kukichapa dhidi ya RKS Rakow Czestochowa ya Poland. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet amepewa Muitaliano akiwa na ODDS ya 1.26 kwa 9.80. Bashiri sasa na mabingwa wa ubashiri Tanzania.

Real Betis mwenye ODDS ya 2.84 atakuwa mgeni wa Glasgow Rangers mwenye ODDS ya 2.43, yani huku tunasema jipakulie minyama ya kutosha ukiwa na kampuni bora kabisa yani kila ukitakacho unakipata. Usisubiri kusimiliwa na wenzako ambao wanakuwa mabingwa kila siku.

Liverpool ya Jurgen Klopp baada ya msimu uliopita kushindwa kufuzu kwenye Ligi ya mabingwa, hatimaye alidondokea Europa na leo hii atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Lask kutoka Austria. Nafasi kubwa ya kushinda amepewa Klopp na vijana wake akiwa na ODDS ya 1.29 kwa 8.62. Beti mechi hii ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa wiki hii.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Sturm Graz wao watakuwa katika dimba lao kucheza dhidi ya Sporting Lisbon majira ya saa 4:00 usiku hukutimu hiyo kutoka Ureno ikiwa haijapoteza mechi yoyote kwenye ligi baada ya kucheza mechi zake 5 mpaka sasa na kukusanya pointi 13. Wakati mwenyeji yeye kwenye ligi pia hajapoteza mechi yoyote kati ya saba alizocheza. Je leo anani kupoteza mechi yake ya kwanza?

Ili kupiga maokoto ya kutosha unapofanya ubashiri jisajili sasa na Meridianbet mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima muda ndio huu kama tayari umejisajili bashiri leo hii mechi ni nyingi sana.

Utamu mwingine wa boli utakuwa kwenye kiwanja cha Karaiskakis ambapo vinara wa ligi ya Ugiriki, Olympiacos watamualika Freiburg ya Ujerumani kuwania pointi tatu. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Brighton ya De Zerbi baada ya kukata tiketi yake ya kushiriki michuano hii ya Ulaya yeye atakuwa nyumbani kuzichapa dhidi ya AEK Athens ya Ugiriki. Timu hiyo kutoka Uingereza ina mwendelezo mzuri sana wa matokeo kwenye ligi. Je na huku atakiwasha sana?

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.

Mechi nyingine yenye maokoto mengi ni ile ambayo inawakutanisha Qarabag dhidi ya Molde huku ODDS zao zikiwa hazitofautiani sana, yani ni 2.40 kwa 2.84. Usiache kubashiri na mechi hii pale Meridianbet ambayo itakupa maokoto kibao ukiiweka kwenye mkeka wako.

Kivumbi kingine kitakuwa kule Usiwizi ambapo Servette Geneva atamkaribisha Slavia Prague mwenye ODDS 1.96  majira ya saa 1:45 huku kila timu ikitaka kushinda mechi hii kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye kundi. Wewe bashiri yako unaiweka wapi kwenye kati ya mechi hizi mbili?

Ukiwa unaendelea kubashiri mechi hizi za Europa kumbuka ile baab kubwa yaani Jakpoti ya Meridianbet kw awale wanaoutumia vitochi au USSD inaendelea kwa dau la shilingi 1000 pekee unaweza kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kw usahihi mechi zako 13. Piga *149*10# ubashiri sasa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com