Mwezi huu wa Septemba Meridianbet wanakupiga na bonasi kibao, kwenye promosheni mpya ya Keno Bonanza inayokupa mteja wa Meridianbet Bodaboda mpya, simu janja na pesa taslimu, michezo ya keno inapatikana kwenye tovuti ya Meridianbet wakali wa kasino mtandaoni.
Promosheni ya Keno Bonanza inachezwa kila wiki Jumatatu mpaka Jumapili ambapo wachezaji wa michezo ya keno watashinda kwa kucheza mfululizo mara tano, na zawadi kama Bodaboda, Samsung A 32 NA PESA TASLIMU zitatolewa, dau la kucheza ni dogo sana kwa Tsh 1000/= tu unaibuka mshindi.
Maelezo Mafupi Kuhusu Keno ya Meridianbet.
Mchezo wa Keno ya Meridianbet kasino ya mtandaoni una jumla ya namba 80, ambapo namba kuanzia 10 hadi 20 huchezwa kwa kutegemeana na aina ya Keno unayocheza kuna Hot Keno, Keno Instant. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.
Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea.
Michezo ya Keno ina chaguo la Autoplay unaweza kucheza mfululizo bila kukatisha mzunguko.
Jinsi ya Kucheza Hot Keno
Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.
Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa
awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenye gurudumu la
namba.
Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha chagua kitufe cha uteuzi nasibu (random selection).
Tiketi
za pesa halisi pekee ndio zitakazohesabika katika promosheni hii. Dau la chini
kwa tiketi ambalo litahesabika kwenye promosheni hii ni TSh 1,000+
Wateja watavuna alama kwenye kila tiketi na kila bashiri ya TSh 1,000
- Kila
tiketi ya TSh 1,000 mteja atapata alama 5
- Kila dau la TSh 1,000 TZS mteja atapata alama 15 ( endapo ataweka beti dau la TSh 3000, atapata alama 45 ya dau + alama 5 za beti = alama 50)
Endapo wachezaji wawili wamefungana alama, kucheza mara nyingi mfululizo kutatumika kupata mshindi, mchezaji aliyecheza mara nyingi mfululizo atakuwa mshindi.
NB: Ukijisajili Meridianbet
unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili
na Cheza.
Social Plugin