Timu ya Stand United imeibuka na ushindi katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji Fc katika mchezo wa ligi ya NBC Championship.
Mchezo huo uliopigwa leo Septemba 22,2023 katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga uliomalizika kwa Stand United kuibuka mshindi kwa goli 1 - 0 huku goli la ushindi kwa Stand United likifungwa na Emmanuel Mtambuka Dk '55' ya mchezo.
Social Plugin