Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Breaking : RAIS SAMIA AMVUA HADHI YA UBALOZI DKT. WILBROAD SLAA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuanzia tarehe 01, Septemba 2023. Dkt. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi tarehe 23 Novemba 2017

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com