Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BROTHERHOOD SURVEY SERVICES CO. LTD WATANGAZA OFA BABU KUBWA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA



OFFER OFFER OFFER!!

Tukiendelea kusheherekea wiki hii ya HUDUMA KWA WATEJA

Kuna Offer Maalumu kwaajili yako wewe Mteja Wetu wa Mradi wa Kishua wa OYSTERBAY

01. Brotherhood Survey Services Company Ltd - Tunakupatia Nafasi ya Kulipia kidogo Kidogo mpaka awamu sita (6) badala ya awamu tatu ya siku zote. Kubwa kuliko ni kuwa kwasasa unaweza kutanguliza 30% kwa malipo ya awali badala ya 50% ya siku zote.

02. Hii ni kwa Mradi wetu Bora kabisa wa  Oysterbay Mradi wa Kishua kwelikweli, uliopo kilomita 4 tu toka katikati ya Manispaa ya Shinyanga, eneo hili lipo barabarani kabisa kwenye lami uelekeo wa Old-Shinyanga palipo na Kona ya Chibe. Mradi wote umeshawekewa barabara pamoja na beacons, na kubwa kuliko yote ni kusogezewa maji kwa kila kiwanja. Huduma za kibinadamu kama umeme, shule, zahanati na eneo la kuchezea watoto na vingine vingi, vyote vinapatikana.

03. Ishi Kijanja, Ishi kishua kwa kujipatia Plot moja kuanzia Tsh 7,000/= hadi 7,500/= kwa square meter moja, ukikamilisha malipo unapata mkataba na hati ya Kiwanja yenye jina lako bure kabisa. 

04. Kwenda Site ni bure na ukiwa mbali tutakutumia Ramani uchague hukohuko.

05. Tafadhali usipitwe na Offer hii ya Wiki ya Huduma kwa Mteja kwa kupiga simu sasa:
0677000026/0677000028
Au
-fika ofisini kwetu Shinyanga 
Jengo la NSSSF Mpya - Barabara kuu ya Mwanza
Ghorofa Na 1.

Kumbuka, UJANJA NI KIWANJA na viwanja ni Oysterbay.


 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com