Breaking News : PAUL MAKONDA KATIBU MPYA WA NEC, ITIKADI NA UENEZI CCM AKICHUKUA MIKOBA YA SOPHIA MJEMA
Sunday, October 22, 2023
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akichukua nafasi ya Sophia Mjema aliyeteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Makonda amewahi kushika nafasi mbalimbali ikiwamo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin