Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BANDOLA SALUMU ACHANGIA SHILINGI MILIONI 1 UJENZI WA MADRASA NDEMBEZI SHINYANGA

Katibu wa Elimu , Malezi na Mazingira Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Bandola Salum akichangia ujenzi wa madrasa Ndembezi.

Na Mwandishi wetu Malunde 1 Blog Shinyanga

Katibu wa Elimu , Malezi na Mazingira Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Bandola Salum amechangia kiasi cha shilingi milioni moja kwa ajili ya ujenzi wa jengo la madrasa katika mtaa wa Mabambasi kata ya Ndembezi Halmashauri ya  Manispaa ya Shinyanga.

Bandola ametoa mchango huo Oktoba 8,2023 katika  harambee ya kuchangia ujenzi wa jengo la madrasa ikiwa ni sehemu ya kuandaa mazingira mazuri ya kuwafundishia watoto elimu ya dini.

Pia Bandola amewaomba wadau wengine wa maendeleo kujitoa kuchangia ujenzi wa jengo hilo ili liweze kukamilika na  watoto wapate sehemu ya kujifunzia maandiko matakatifu.

Katika harambee hiyo zaidi ya Shilingi Milioni 7 zimechangwa na waumini pamoja na wadau mbalimbali kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo hilo ambalo kwa sasa lipo usawa wa renta.
Katibu wa Elimu , Malezi na Mazingira Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Bandola Salum akizungumza wakati wa harambee ya ujenzi wa madrasa Ndembezi.

Shekh Msafiri Kitumbo akiwa na katibu wa Elimu , Malezi na Mazingira Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Bandola Salum akizungumza wakati wa harambee ya ujenzi wa madrasa Ndembezi. 

Mfanya biashara Rajabu Moshi akishiriki katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Madrasa Ndembezi.
Shaban Abdalla akishiriki katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Madrasa Ndembezi.

Katibu wa Elimu , Malezi na Mazingira Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Bandola Salum akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa madrasa Ndembezi.

 Katibu wa Elimu , Malezi na Mazingira Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Bandola Salum akizungumza wakati wq harambee ya kuchangia ujenzi wa madrasa Ndembezi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com