Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenye makaburi ya machifu yaliyopo mlima Chibe.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mnvua zinazo Nyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza Machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Na Amo Blog Shinyanga
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Shinyanga Chifu Kidola Njange ameongoza Machifu wenzake kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka kwa ajili ya wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Taifa kwa ujumla.
Akiongoza machifu wenzake kwenda mlima Chibe kwa ajili ya kufanya usafi katika makaburi ya Machifu waliowahi kutawala mkoa wa Shinyanga Chifu Kidola Njange amesema kuwa kufuatia tahadhali iliyo tolewa na Mamlaka ya Hali ya hewa wameona nivyema kwenda kwenye makaburi ya machifu walio tangulia kuomba maombi maalumu kwa ajili ya Mvua zilizoanza kunyesha ziwe mvua za baraka na mafanikio kwa ajili ya wakulima kupata mazao mengi ya chakula.
Pia Chifu Njange amesema kuwa wanayo imani kubwa maombi wanayowaomba kutoka kwa Machifu waliofariki dunia yatasaidia kupunguza majanga ambayo yangejitokeza ikiwemo mvua kubwa zinazonyesha zikiambatana na mawe,upepo na miungurumo ya radi.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mnvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akiongoza machifu kwenda Mlima Chibe kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuomba mvua zinazonyesha ziwe mvua za baraka.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akifanya usafi kwenye Makaburi ya machifu yaliyopo mlima Chibe.
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa Wa Shinyanga Chifu Kidola Njange akifanya usafi kwenye Makaburi ya machifu yaliyopo mlima chibe.
Social Plugin