Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya
Udaktari wa Falsafa (Honoris Causa) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Jawaharlal
Nehru Profesa Santishree Dhulipudi Pandit kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe
10 Oktoba, 2023. Rais Samia ni Mwanamke wa Kwanza kutunukiwa Shahada hiyo ya
Heshima na Chuo hicho nchini India.
Ni Viongozi wawili tu ambao wametunukiwa Shahada hiyo
ya Heshima akiwemo Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin pamoja na Aliyekuwa Waziri
Mkuu wa Japan Hayati Shinzo Abe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru, New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.
Social Plugin