Uongozi wa Zaha Products kwa kushirikiana na Mwalimu Adam Samwel kutoka SIDO wanawatangazia watu wote fursa ya kujifunza mambo mbalimbali ya ujasiriamali ikiwemo utengenezaji wa wa bidhaa tofauti tofauti za matumizi ya nyumbani kama vile Sabuni za aina zote, Utengenezaji wa Batiki, Utengenezaji wa Jiki, Utengenezaji wa Shampoo na Mafuta ya Mgando.
Mafunzo hayo yanayotarajia kufanyika Novemba 25 hadi 26, 2023 mjini Shinyanga kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 9:00 Alasiri yatawakutanisha vijana na wakufunzi wa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali, na kutoa vyeti vya mafunzo kwa watakaojifunza.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0746 723 078 au 0677 656 443 “Changamkia Fursa”.
Social Plugin