AJALI YA BASI LA BARAKA CLASSIC YAUA WATU 15 , KUJERUHI 26
الأحد, نوفمبر 26, 2023
Watu 15 wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Baraka Classic, lililokuwa linatokea Newala mkoani Mtwara kwenda jijini Dar es Salaam katika eneo la Mputa wilaya ya Mtama Mkoani Lindi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin