Msanii Maarufu wa Nyimbo za Asili za Kabila la Wasukuma Bhuhulu Lusafisha / Buhulu Lusafija mkazi wa Ngaya Wilaya ya Kahama amefariki dunia.
Taarifa zinaeleza kuwa Msanii Bhuhulu Lusafisha amefariki dunia Jana Jumapili Novemba 26,2023 wilayani Kahama baada ya kuugua muda mrefu na mazishi yatafanyika leo kijiji cha Mwakuzuka kata ya Ngaya wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Bhuhulu Lusafisha enzi za uhai wake.
HIZI HAPA BAADHI YA NYIMBO ZA MSANII BHUHULU LUSAFISHA
Social Plugin