Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tazama Picha : SHEREHE YA USIKU WA MWANAMKE WA AFRIKA - MIAKA 30 YA TGNP NA TAPO LA UKOMBOZI WA WANAWAKE

Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka ( wa tatu kushoto) na wanaharakati wa Haki za Wanawake wakikata keki wakati wa hafla ya Usiku wa Mwanamke wa Afrika ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na Tapo la Ufeminia (Ukombozi wa wanawake) leo Alhamisi Novemba 9,2023 wakati wa Tamasha la 15 la Jinsia - PICHA NA KADAMA MALUNDE - MALUNDE 1 BLOG

Tazama Matukio katika picha hapa chini




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com