Basi la Ally's Star lililogonga treni na kusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi 25, alfajiri ya leo,Novemba 29, huko wilayani Manyoni likinyanyuliwa na kuondolewa kutoka eneo la ajali.
Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally's lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.
Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally's lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri
Social Plugin