Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RC MNDEME ATEMBELEA KIWANDA CHA JAMBO,AMPONGEZA MKURUGENZI WA JAMBO KWA KUWEKA MKAKATI WA KUANZA UZALISHAJI JUICE YA VIAZI LISHE SHINYANGA

Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.

Na Amo Blog Shinyanga 

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Christina Mndeme amefanya ziara ya kutembelea kiwanda cha Jambo Food Products kuangalia shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali, na kuwashauri wananchi wa mkoa huo kulima mazao yanayotumika katika uzalishaji ndani ya kiwanda hicho .

Mhe.Mndeme amefanya ziara hiyo leo , akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwamo Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa.

Amesema wananchi ni vyema wakachangamika fursa zinazo patikana katika kiwanda cha jambo kwa kulima mazao yanayotumika katika uzalishaji ndani ya kiwanda hicho

Pia, Mhe.Mndeme ametoa wito kwa wawekezaji kuwekeza viwanda katika mkoani wa Shinyanga kwa kuwa serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ndani ya mkoa huo

.

Naye Mmiliki wa kiwanda cha Jambo Food Products Salum Hamis, amemshukuru mkuu wa mkoa kwa kufanya ziara katika kiwanda hicho huku akieleza mkakati wa kiwanda hicho kuwa ni kutaka kuanza uzalishaji wa bidhaa nyingine ikiwemo juice ya Viazi .

Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.

Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.

Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.Mhe.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika ziara kwenye kiwanda cha Jambo kuona Shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.

Mmiliki wa kiwanda cha Jambo Food Product Salum Hamis akiendelea kuongoza wageni na kuwaelezea bidhaa mbalimbali zinazo zalishwa katika kiwanda hicho.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com