Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI UMMY AKABIDHI GARI LA WAGONJWA JIJI LA TANGA



Na Pamela Chaula,TANGA.


WAZIRI wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Mhe Ummy Mwalimu amekabidhi gari la wagonjwa Halmashauri ya Jiji la Tanga amekabidhi gari la kubeba wagonjwa katika Halmashauri ya Jiji la Tanga ikiwa ni moja kati ya magari 700 yaliyotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu.

Gari hizo zimetolewa kwa Halmashauri zote nchini ikiwa ni kuboresha huduma za Afya katika Halmashauri hizo huku akiagiza yatumika kwenye matumizi yaliyokusudiwa na sio vyenginevyo.

Halfa hiyo ya makabidhiano ilifanyika katika halmashauri hiyo ambapo Mhe Waziri Ummy akimkabidhi gari hilo Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Said Majaliwa

WAZIRI wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Mhe Ummy Mwalimu  kulia akimkabidhi gari Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Saidi Majaliwa
WAZIRI wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Mhe Ummy Mwalimu  kulia akimkabidhi gari Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Saidi Majaliwa









Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com