BECO PRE & PRIMARY SCHOOL YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO 2024!!
Shule ya awali na Msingi BECO (Beco Pre and Primary School) inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2024!!
🚨 Beco Pre and Primary School ni miongoni mwa shule bora Tanzania.
🚨 Shule yetu inafanya vizuri mitihani ya Taifa.
🚨 Mwaka 2021 Shule ilikuwa ya 10 Kitaifa.
🚨 Mwaka 2022 na 2023 imekuwa kati ya bora zaidi kitaifa na kufanikiwa kupata daraja mtihani darasa la saba wanafunzi 'A' bora wote.
👉 Shule ina mazingira bora kwa taaluma bora kwa mwanafunzi.
👉 Shule ina walimu bora waliobobea katika taaluma zao.
👉Shule inafundisha maadili mema kwa watoto wa dini zote.
👉 Usafiri wa uhakika.
👉 Ada zetu ni nafuu sana.
Tunasajili watoto wa chekechea na la kwanza na wanaohamia madarasa yote.
Shule ya BECO inapatikana Shinyanga Mjini nyuma ya Kom Sekondari.
Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0763 157 400 au 0624 293 323
Social Plugin