Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video ya Utamaduni : SHUHUDIA BALAA LA WASWEZI WAKIAMSHA AMSHA USUKUMANI


Miongoni mwa ngoma maarufu Kanda ya Ziwa ni hii ngoma ya Kisukuma ya Waswezi! Leo nimekusogezea ngoma ya Waswezi kutoka Msalala wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga tuliyofanikiwa kuinasa mwaka huu 2023...
Bofya HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO HII


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com