Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Wakili Stephen Byabato(Mb) anashiriki Mkutano wa Pili, Kikao cha Pili cha Bunge la Tano la Afrika Mashariki, Kigali, Rwanda Bunge hilo linaendelea tangu Tarehe 23 Novemba, 2023 Mpaka 07 Disemba, 2023.
Katika Bunge hili miswaada mitatu itajadiliwa, hoja mbalimbali kwa maslahi ya Jumuiya zitajadiliwa pamoja na taarifa kutoka Kamati 6 zitajadiliwa na kutolewa maamuzi.
Social Plugin