NA EMMANUEL MBATILO
KLABU ya Yanga inefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji raia wa Ghana, Augustino Okrah ambapo leo wamemtangaza katika mchezo wao dhidi ya Jamhuri Fc katika michuano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea Visiwani Zanzibar.
Yanga Sc imemtambulisha mchezo huyo wa Kimataifa wakati wa mchezo wao ambao walikuwa mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 5-0.
Hivi karibu msemaji wa Yanga Sc Bw. Ally Kamwe alikaririwa kwa kusema wanasiku saba ambazo watazitumia kumtangaza katika kuimarisha kikosi chao kwenye dirisha dogo la usajili.
Social Plugin