Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BENKI YA CRDB YATOA ELIMU KWA WANANCHI WIKI YA SHERIA SHINYANGA


Meneja Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB tawi la Shinyanga George Nyegu (kulia) akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme kuhusu huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB alipotembelea Banda la Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com