Meneja wa Benki ya Serikali ya Biashara Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Shinyanga, Julius Mataso (wa pili kushoto) akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kushoto) kuhusu huduma zinazotolewa na Benki ya TCB alipotembelea Banda la Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Social Plugin