Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ATEMBELEA BANDA LA TIGO MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA


Mwakilishi wa Huduma kwa Wateja Duka la Tigo Shinyanga, Agnes Mpungu akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kushoto) kuhusu huduma zinazotolewa Tigo ikiwemo uuzaji wa simu bora za gharama nafuu alipotembelea Banda la TIGO Shinyanga wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu huduma zinazotolewa Kampuni ya Simu ya TIGO alipotembele Banda la TIGO Shinyanga wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com