Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RC MNDEME ATEMBELEA BANDA VETA KWENYE UZINDUZI WA WIKI YA SHERIA SHINYANGA


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kushoto) akifurahia jambo alipotembelea Banda la Chuo cha Ufundi Stadi -VETA Shinyanga wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com