Afisa Usajili NIDA Mkoa wa Shinyanga, Nathanael Njau akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kushoto) kuhusu huduma zinazotolewa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) alipotembele Banda la NIDA Shinyanga wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Social Plugin