Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda (kulia) akiwasilisha mada kuhusu majukumu na wajibu wa OSHA kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika semina ya masuala ya usalama na afya mahali pa kazi kwa Kamati hiyo jijini Dodoma. (wakwanza kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya PAC, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb).
****************
Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb) akizungumza
na Wajumbe wa Kamati ya PAC mara baada ya mtendaji Mkuu wa OSHA kuhitimisha
mada aliyowasilisha mbele ya Kamati hiyo
Mtendaji Mkuu wa OSHA,
Bi. Khadija Mwenda akisisitiza kuhusu umuhimu wa kufanya kazi katika mazingira
salama ya kazi hususan ni matumizi ya viti vya egonomia katika ofisi wakati wa
semina ya masuala ya usalama na afya mahali pa kazi iliyotolewa na OSHA kwa
wajumbe wa Kamati ya PAC Bungeni Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Venant Daud Protas (watatu mstari wa kwanza kulia) akiwasilisha hoja mbalimbali kwa Mtendaji Mkuu wa OSHA (wakwanza kulia ) zinazohusu huduma mbalimbali zinazotolewa na OSHA katika maeneo ya kazi
Mkurugenzi wa Mafunzo, Takwimu na Uhamasishaji wa OSHA, Bw. Joshua Matiko akiwasilisha mada ya makundi mbalimbali ya vihatarishi vya maeneo ya kazi na namna ya kuvidhibiti kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika Semina maalumu iliyofanyika bungeni jijini Dodoma.
Social Plugin