Karibu Chuo cha Sayansi za Afya Kahama (Kahama College of Heath Sciences) kilichopo Manispaa ya Kahama Mkoa wa Shinyanga! Tunatoa Kozi Nne ambazo ni Clinical Medicine / Utabibu, Pharmaceutical Sciences / Famasi, Social Work / Ustawi wa Jamii na Community Development / Maendeleo ya Jamii!!
Chuo cha Sayansi za Afya Kahama (Kahama College of Heath Sciences) Mkoa wa Shinyanga kinatangaza nafasi za masomo Katika kozi za:
👉 Clinical Medicine / Utabibu
Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology. Ada yake ni 1,800,000/=
👉 Pharmaceutical Sciences / Famasi
Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology. Ada yake ni 1,800,000/=
👉 Social Work / Ustawi wa Jamii
Vigezo ni D nne za masomo yoyote isipokuwa masomo ya Dini. Ada yake ni 1,215,000/=
👉 Community Development / Maendeleo ya Jamii
Vigezo ni D nne za masomo yoyote isipokuwa masomo ya Dini. Ada yake ni 1,215,000/=
Ada zetu unalipa kwa awamu nne na huduma ya Hosteli ni Bure kwa mwaka wa kwanza wote.
Tembelea tovuti yetu: www.kachs.ac.tz
Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0759 342 962 au 0757 748 200
Social Plugin