Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria nchini ambayoinafanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo Februari 01,2024. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele na Mjumbe wa Tume, Mhe. Jaji wa (R) Mwanaisha Kwariko ni miongoni mwa washiriki katika maadhimisho hayo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria nchini ambayoinafanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo Februari 01,2024.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele akimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan aipokua akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria nchini ambayoinafanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo Februari 01,2024.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mwanaisha Kwariko (mwenye kilemba) ni miongoni mwa Majaji wa Rufani waliohudhuria sherehe hizo.
Jaji Mkuu wa Tanzania akipokea heshima maalum ya kijeshi baada ya kukagua kwaride.
Social Plugin