Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya 29 Februari 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo kuanzia kesho kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia leo katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya Saratani ya mapafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu tarehe 29 Februari 2024. pic.twitter.com/jzEzxlEUiH
— ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) February 29, 2024
Social Plugin