Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DKT. NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA WILAYA YA ROMBO, WAJUMBE WA BODI YA LIGI MKENDA CUP NA MADIWANI

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, baadhi ya Madiwani wa CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Siasa Kata Nne za Wilaya ya Rombo na Wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, wakisikiliza jambo wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwapatia simulizi alipokuwa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Uru, mkoani Kilimanjaro. Viongozi hao walifika Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, kumtembelea Dkt. Nchimbi, leo Jumatano, Februari 7, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha mbalimbali pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, baadhi ya Madiwani wa CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Siasa Kata Nne za Wilaya ya Rombo na Wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, baada ya viongozi hao kumtembelea Dkt. Nchimbi ofisini, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo Jumatano, Februari 7, 2024.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com